PEP GUARDIOLA AWEKA REKODI HII KATIKA LIGI KUU YA UINGEREZA


Na Yego Sholla

Pep Guardiola , 19 za 🔥🔥
.
.
Baada ya kuitungua Everton 3-1 leo sasa Pep Guardiola amezitungua timu zote 19 za ligi kuu ya Uingereza msimu huu.
.
.
Everton ndio walikuwa pekee wamebaki baada ya mechi ya kwanza dimba la Etihad kuisha sare ya 1-1 .

Comments

Popular posts from this blog