PARIS SAINT-GERMAIN :WAMTOLEA JICHO MIRALEM PJANIC

Na Yego Sholla

Paris Saint-Germain wameonyesha nia ya kutaka kumsajili kiungo wa Juventus  Miralem Pjanic, kwa mujibu wa taarifa kutoka  Corriere della Sera.

Vinara wa Ligi kuu ya Ufaransa wameweka mezani ofa ya mkataba wa miaka  mitano wenye thamani ya Pauni Milioni 7 baada ya kodi kwa mwaka , mara mbili ya ile anayolipwa Juve kwa sasa ya Pauni Milioni 3.9

Comments

Popular posts from this blog