MATOKEO YA ROBO FAINALI AZAM SPORTS FEDERATION CUP
Hatua ya robo Fainali kombe la Azam Sports Federation Cup imeendelea leo kwa mchezo mmoja uliozikutanisha Stand United dhidi ya Njombe Mji.
Katika mchezo huo uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Kambarage, wenyeji Stand United wamefanikiwa kusonga mbele katika hatua ya Nusu Fainali baada ya kupata ushidi wa goli 1-0, goli lililofungwa na Bigilimana Balise katika dakika ya 12.
Baada ya kupata ushindi huo Stand United sasa inamsubiri mshindi kati ya Azam Fc dhidi ya Mtibwa Sugar, mchezo utakaofanyika leo kwenye uwanja wa Azam Complex (Chamanzi) kuanzia saa 19:00 jioni.

Comments
Post a Comment