IMEKAMILIKA! RATIBA YA SOKA LEO JUMAMOSI PAMOJA NA MATOKEO YA SOKA SIKA JANA


Na Joseph michael
Baada ya kukamilika kwa mechi za timu za taifa ligi kuu sasa zinaanza tena leo kwa kila timu kupambana kuwania ubingwa wa ligi soma ratiba kamili iliyoandaliwa na nijizehabari.

LIGI KUU ENGLAND

Jumla ya timu 16 zitakuwa dimbani kupambana kupata alama muhimu na kujiweka katika nafasi zuri ya kusalia kwenye ligi na kutwaa ubingwa.

Crystal Palace itaikaribisha  Liverpool majira ya saa nane na nusu mchana,Palace ipo nafasi ya 16 ikiwa imekusanya alama 30 huku Liverpool ikiwa na alama 63 katika nafasi ya 3.Kuelekea mchezo huo kocha wa Palace amesema wanaenda kuizamisha Liverpool kwani wamejiandaa vyema.

Mida ya saa 17:00 jioni  Brighton & Hove Albion itakuwa ikiikaribisha Leicester City,Albion hadi sasa ina alama 34 ikiwa katika nafasi ya 12 wakati Leicester city ikiwa nafasi ya 8 na alama 40

Manchester United itakuwa nyumbani Old Trafford ikiikaribisha Swansea City ambayo ina alama 31 katika nafasi  ya 14 huku united ikiwa ya 2 na alama 65

Majira ya saa 17:00 Newcastle United itakuwa ikiikaribaisha Huddersfield Town,Newcastle imekusanya alama 32 ikiwa nafasi ya 13 wakati Town ikiwa nafasi ya 15 na alama 31.

Watford itakuwa mwenyeji wa AFC Bournemouth katika mchezo ambao utapigwa saa kumi na moja jioni,Watford hadi sasa ina alama 36 ikiwa nafasi ya 11 wakati Bournemouth ikiwa nafasi ya 10 alama 36 ikimzidi mwenyeji wake magoli.

Majira ya 17:00 West Bromwich Albion yenye alama 20 na nafasi ya mwisho kabisa 20 itakuwa ikicheza na  Burnley.

 West Ham United itakuwa dimbani SAA kumi na moja jioni ikicheza na Southampton kabla ya mchezo huu west ina alama 30 na nafasi ya 17 wakati mpizani wake nafasi 18 na alama 28

Majira ya 19:30 Everton ikiwa na faida ya alama 40 katika nafasi ya 9 itawakaribisha vinara wa ligi Manchester City.

KAMATA RATIBA YA SOKA LEO JUMAMOSI PAMOJA NA MATOKEO YA SOKA JANA

England - Championship
FT Millwall 2 - 0 Nottingham Forest
FT Barnsley 2 - 2 Bristol City
FT Brentford 1 - 1 Sheffield United
FT Cardiff City 3 - 1 Burton Albion
FT Leeds United 2 - 1 Bolton Wanderers
FT Norwich City 0 - 2 Fulham
FT Sheffield Wednesday 4 - 1 Preston North End
FT Middlesbrough 1 - 2 Wolverhampton Wanderers
FT Reading 1 - 0 Queens Park Rangers
FT Derby County 1 - 4 Sunderland

👉Algeria - Ligue 1
FT CR Belouizdad 1 - 0 USM Alger
FT DRB Tadjenanet 2 - 0 JS Saoura
FT US Biskra 1 - 1 JS Kabylie
FT USM Bel Abbes 0 - 1 NA Hussein Dey
FT MC Alger 4 - 1 USM Blida

👉Egypt - Premier League
FT Misr El-Maqasa 0 - 0 ENPPI

👉Kenya - Premier League
FT Mathare United 1 - 0 Chemelil Sugar

👉England - Premier League
14:30 Crystal Palace Vs Liverpool
17:00 Brighton & Hove Albion Vs Leicester City
17:00 Manchester United Vs Swansea City
17:00 Newcastle United Vs Huddersfield Town
17:00 Watford Vs AFC Bournemouth
17:00 West Bromwich Albion Vs Burnley
17:00 West Ham United Vs Southampton
19:30 Everton Vs Manchester City

👉England - Championship
17:00 Birmingham City Vs Ipswich Town
19:30 Hull City Vs Aston Villa

👉Italy - Serie A
13:30 Bologna Vs Roma
16:00 Atalanta Vs Udinese
16:00 Cagliari Vs Torino
16:00 Fiorentina Vs Crotone
16:00 Genoa Vs SPAL 2013
16:00 Inter Vs Hellas Verona
16:00 Lazio Vs Benevento
19:00 ChievoVerona Vs Sampdoria
19:00 Sassuolo Vs SSC Napoli
21:45 Juventus Vs AC Milan

👉Spain - LaLiga Santander
14:00 Girona Vs Levante
17:15 Athletic Bilbao Vs Celta Vigo
19:30 Las Palmas Vs Real Madrid
21:45 Sevilla Vs Barcelona

👉Germany - Bundesliga
16:30 Bayer Leverkusen Vs Augsburg
16:30 Hannover 96 Vs RasenBallsport Leipzig
16:30 Hoffenheim Vs FC Cologne
16:30 Schalke 04 Vs Freiburg
16:30 VfB Stuttgart Vs Hamburger SV
19:30 Bayern Munich Vs Borussia Dortmund
21:30 Hertha Berlin Vs Wolfsburg

👉France - Ligue 1
18:00 Dijon Vs Marseille

👉Belgium - First Division A:: EL play-off: group A
19:00 Kortrijk Vs Waasland-Beveren
21:00 Lierse Vs Royal Excel Mouscron

👉Belgium - First Division A:: EL play-off: group B
21:00 Lokeren Vs St.Truiden
21:30 Eupen Vs KFCO Beerschot-Wilrijk

👉Algeria - Ligue 1
18:00 Olympique de Medea Vs CS Constantine
18:00 USM El Harrach Vs Paradou AC
19:00 ES Setif Vs MC Oran

👉Egypt - Premier League
19:00 Al Masry Vs Al-Ittihad Al-Sakandary

👉Kenya - Premier League
14:00 Posta Rangers Vs Thika United
15:00 Gor Mahia Vs Vihiga United
15:00 Kakamega Homeboyz Vs Bandari
15:00 Nakumatt Vs Sofapaka
15:00 Nzoia Sugar FC Vs SoNy Sugar
16:15 Kariobangi Sharks Vs Ulinzi Stars

👉Morocco - Botola Pro
18:00 KACM Vs Chabab Atlas Khenifra
20:00 FAR Rabat Vs Hassania Agadir

👉South Africa - Cup
16:30 Maritzburg United Vs Bloemfontein Celtic
16:30 Ubuntu Cape Town FC Vs Free State Stars
21:15 Kaizer Chiefs Vs Baroka FC

👉Tunisia - Ligue I
16:00 Stade Gabesien Vs Etoile du Sahel
16:00 Stade Tunisien Vs CA Bizertin
16:30 CS Sfaxien Vs Esperance
16:30 JS Kairouanaise Vs AS Gabes
18:00 Club Africain Vs Club Olympique de Medenine

#Josephmichael share na like na pale angu FB

Comments

Popular posts from this blog