HERRY KANE BADO NIPO NIPO SANA TOTTENHAM MWAKA MMOJA
Na Yego Sholla
Taarifa kutoka The Sun zinasema Mshambuliaji wa Tottenham Hotspurs, Harry Kane, ameahidi kuendelea kusalia ndani ya klabu hiyo kwa zaidi ya msimu mmoja, licha ya kusalia kwake, uongozi wa Tottenham unapambana kumbakiza kikosini beki wake Toby Alderweireld pamoja na beki wa kushoto, Danny Rose, wanaowania na Manchester United.

Comments
Post a Comment