HARUNA NIYONZIMA MAMBO NI MAGUMU SANA

Na Yego Sholla


'Kwa sasa najisikia nafuu na nimeanza kupewa ratiba na mwalimu naamini mambo yatakuwa mazuri. Kuna ‘recover’ za aina mbili kuna ya daktari na mwalimu, ya daktari tayari nimeshafanya sasa hivi nafanya ya mwalimu kwa hiyo ikiisha najiunga na timu.”taarifa kutoka mtandao wa Shafih daud

“Nimemi-miss kucheza kwa sababu muda mrefu sijacheza na watu wanajua mpira ni kazi yangu lakini siwezi kuchukua uamuzi nikasema nacheza, natakiwa kwenda na ratiba ya timu, daktari na mwalimu lakini sasa hivi nipo kwenye ratiba ya mwalimu, muda si mrefu nitarudi uwanjani.”

HARUNA NIYONZIMA

Comments

Popular posts from this blog

Njia sahihi za kuachana na unywaji wa pombe