CAGLAR SOYUNCU ANAHUSISHWA KUTUA THE GUNNERS
Na Yego Sholla
Beki kutoka klabu ya Freiburg ya Ujerumani, Caglar Soyuncu anahusishwa na kuhamia Arsenal majira ya kiangazi kwa mujibu wa taarifa kutoka Daily Mail.
Beki huyo wa kimataifa wa Uturuki ana thamani ya Pauni Milioni 30 na amekamata macho ya vilabu vya Manchester United, Manchester City, Liverpool na Chelsea kuelekea usajili wa majira ya kiangazi.

Comments
Post a Comment