BRAZIL YAITUNGUA URUSI 3G BILA NEYMAR
Na Yego Sholla
Mwisho wa mechi ilikuwa rahisi sana kwa vijana wa Tite kumtungua mwenyeji wa fainali za kombe la Dunia , Urusi.
Magoli ya Miranda, Coutinho na Paulinho yametosha kuipa ushindi wa 3-0 Brazil dhidi ya Urusi.

Comments
Post a Comment