BAVARIANS YAISHUSHIA KIPINGO CHA MBWA MWIZI BORUSSIA DORTMUND

Na Yego Sholla

Full Time

Magoli matatu kutoka Robert Lewandowski yamechangia kuitungua Borussia Dortmund 6-0 katika mchezo wa ligi kuu ya soka ya Ujerumani

Magoli mengine matatu kutoka kwa James Rodriguez, Thomas Muller na Frank Ribery yamepeleka kilio kikubwa ndani ya Dortmund.

Comments

Popular posts from this blog