ARSENAL NA ATLETICO MADRID VITANI KUISAKA SAINI YA BERND LENO
Na Yego Sholla
Atletico Madrid wamejiunga na Arsenal katika vita ya kuwania saini ya Golikipa Bernd Leno kutoka Bayer Leverkusen, kwa mujibu wa taarifa kutoka Kicker.
Arsenal na Napoli ndio walikuwa wa kwanza kuhusishwa na Golikipa huyo mwenye umri wa miaka 26 katika wiki kadhaa zilizopita lakini sasa inaonekana Atletico nao wamejitosa kwenye mchakato huo.
Atletico Madrid wanajua kwamba Golikipa wao wa sasa namba moja Jan Oblak huenda akapokea ofa kutoka mahala pengine majira ya kiangazi na wamemuandaa Leno endapo Kipa huyo wa kimataifa wa Slovenia ataondoka katika dimba la Wanda Metropolitano.

Comments
Post a Comment