Vodacom Premier league round20 weekend hii Chamazi
Wikiendi ya kukata na shoka, kushuhudiwa mpambano wa kukata na shoka kati ya Klabu BIngwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC na Singida United, mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam Jumamosi hii saa 1.00 usiku.
Timu hizo zilipokutana mara ya kwanza (mzunguko wa kwanza) kwenye Uwanja wa Jmahuri, mkoani Dodoma. Azam FC ilipata sare ya ugenini ya bao 1-1, bao la matajiri hao likifungwa na chipukizi Paul Peter, aliyekuwa akicheza mechi yake ya kwanza tokea apandishwe siku kadhaa kabla ya mtanange huo.

Comments
Post a Comment