Ungana nasi kila siku kupata Habari za Michezo,Usajili pamoja na Habari nyingine nyingi
Ligi kuu ya wanawake kuendelea tena leo
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (Serengeti Lite Women’s Premier League Super 8) kuendelea leo kwa michezo mitatu katika viwanja mbalimbali, Nani kutwaa Ubingwa msimu huu?
Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga Bandari ya Tanga leo. Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.
Comments
Post a Comment