Ungana nasi kila siku kupata Habari za Michezo,Usajili pamoja na Habari nyingine nyingi
Je Yanga sc watachomoka leo katika uwanja wa Nangwanda
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Mzunguko wa 19 wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuhitimishwa leo kwa mchezo mmoja katika Uwanja wa Nangwanda. Ndanda FC vs Young Africans. Nani kuondoka na pointi tatu?
Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga Bandari ya Tanga leo. Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.
Comments
Post a Comment