Idd Nassor Cheche Singida United watalia mapema tu
KOCHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Idd Nassor Cheche na kiungo Frank Domayo 'Chumvi', wamewahakikishia mashabiki wa timu hiyo ushindi kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Singida United, utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex Jumamosi hii saa 1.00 usiku.
Comments
Post a Comment