Hakuna namna MONREAL nje week 4
Taarifa kutoka Sky Sports na Ulimwengu wa soka Tz zinasema kuwa Nacho Monreal huenda akawa nje ya dimba kwa mechi nne zijazo za Arsenal baada ya kuumia mgongo, kwa mujibu wa kocha Arsene Wenger.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania alilazimika kutoka nje katika kipindi cha kwanza kwenye mechi ya kichapo cha 3-0 mechi ya fainali ya kombe la Carabao.
Monreal ataikosa mechi ya kesho ( Alhamisi ) ya ligi kuu ya soka ya Uingereza dhidi ya Manchester City na pia mechi ya Jumapili dhidi ya Brighton.
" Atakuwa nje kwa mechi mbili mfululizo - Alhamisi na Jumapili . hiyo ni uhakika. Na pia huenda akakosa mechi mbili zaidi - dhidi ya Milan na labda pia dhidi ya Watford " Amesema Wenger.
" Ana uvimbe katika mgongo."

Comments
Post a Comment