Hafisa habari wa Jkt Tanzania achia ngazi rasmi
TAARIFA MHIMU
MIMI AFISA MTEULE DARAJA LA PILI COSTANTINE MASANJA, AFISA HABARI JKT TANZANIA KWA KIPINDI KIREFU, NAPENDA KUWAJULISHA KUWA KUANZIA LEO, NAFASI YANGU YA USEMAJI WA TIMU ITAKUWA CHINI YA LUTENI SEPERATUS LUBINGA, AMBAYE NDIYE ATAKUWA AFISA HABARI WA JKT TANZANIA NAMBA ZAKE, VODA, 0755 626 987 NA TIGO 0712 113 367 ADMN ADD NAMBA HIZO KWA AJILI YA UFANISI WA KAZI
MIMI NIMEPEWA JUKUMU JINGINE NA WAKUU WANGU WA KAZI, NAWASHUKURUNI WOTE KWA USHIRIKINO MKUBWA MLIONIPA WAKATI NIKIWA KATIKA JUKUMU HILI MHIMU NA MUNGU AWABARIKI SANA,
TARATIBU ZA KIUTAWALA ZINAFANYIKA KUPELEKA TAARIFA YA MABADILIKO HAYA NGAZI HUSIKA (TFF) KWA KUBADILISHA NYARAKA KATIKA NAFASI HIYO,
WOTE NWATAKIENI KAZI NJEMA ASANTENI NI MM
AFISA MTEULE DARAJA LA PILI COSTANTINE MASANJA
28 FEBRUARY 2018

Comments
Post a Comment