Ungana nasi kila siku kupata Habari za Michezo,Usajili pamoja na Habari nyingine nyingi
EverGreen Queens wakipasha misuli joto
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
-
Timu ya EverGreen Queens wakipasha misuli kabla ya kuwakabili JKT Queens katika uwanja wa Karume Dar es Salaam. Serengeti Lite Women’s Premier League Super 8
Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga Bandari ya Tanga leo. Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.
Comments
Post a Comment