USAJILI: RASMI PIERRE AUBAMEYANG ATUA ARSENAL KWA UAMISHO WA REKODI
Kocha mkuu wa Arsenal, Arsene Wenger akipeana mikono Pierre-Emerick Aubameyang baada ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Borussia Dortmund ya Ujerumani kwa Pauni Milioni 56.
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund raia wa Gabon, Pierre-Emerick Aubameyang ya Ujerumani.
Aubameyang ametua Arsenal kwa uhamisho wa rekodi wa Pauni Milioni 56, na kusaini mkataba wa miaka mitatu na nusu.
Klabu yake ya zamani ya Dortmund imethibitisha kupitia kwenye akaunti yake ya Twitter leo, kabla ya Arsenal kutoa picha za Aubameyang akiwa na jezi yao na akiwa na kocha Arsene Wenger.
Mchezaji huyo anaweka rekodi ya mchezaji anayelipwa zaidi katika klabu hiyo Pauni 180,000 kwa wiki.
Kusajiliwa kwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 kutafungua milango ya mshambuliaji wa Arsenal, Mfaransa Olivier Giroud kuhamia Chelsea ambao nao watamruhusu Michy Batshuayi kwenda Dortmund kuziba pengo la Aubameyang kabla dirisha halijafungwa leo saa sita kamili usiku.
USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Comments
Post a Comment