USAJILI: BATSHUAYI ATUA DORTMUND KWA MKOPO
Klabu ya Borussia Dortmund imekamilisha uhamisho mshambuliaji wa Chelsea Michy Batshuayi kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu.
Batshuayi ametua Dortmund ili kuziba pengo lililoachwa na Pierre-Emerick Aubameyang aliyesajiliwa na Arsenal kwa dau la Pauni Milioni 56 na kusaini mkataba wa miaka mitatu na nusu.
Comments
Post a Comment