RATIBA YA LEO NA MUDA KAMILI MECHI ZA AZAM SPORTS FEDERATION CUP (ASFC)

Michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC), hatua ya 32 bora inatarajiwa kuendelea tena leo Jumatano ya January 31-2018 kwa mechi 7 zitakazopigwa katika viwanja tofauti.

👉Ratiba kamili ya leo Jumatano ya January 31-2018 Azam Sports Federation Cup (ASFC).
14:00 Tanzania Prisons vs Burkina Fc
16:00 Majimaji Rangers vs Mtibwa Sugar
16:00 Njombe Mji vs Rhino Rangers
16:00 Pamba Sc vs Stand United
16:00 Kiluvya vs JKT Oljoro
16:00 Majimaji vs Ruvu Shooting
19:00 Green Warrios va Singida united

USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Comments

Popular posts from this blog