HIKI HAPA KIKOSI BORA CHA HAJI MANARA MZUNGUKO WA KWANZA 2017-2018
Afisa Habari wa klabu ya Simba Sc Haji Manara ametaja kikosi chake bora kwa mzunguko wa kwanza ligi kuu Tanzania Bara msimu wa 2017-2018.
Kikosi cha kwanza
1:Aishi Salum Manula-Simba Sc
2:Erasto Edward Nyoni-Simba Sc
3:Shafiq Batambuze-Singida United
4:Yakub Mohamed-Azam Fc
5:Asante Kwasi-Simba Sc
6:Papy Kabamba "Tshishimbi"- Young Africans
7:Shiza Ramadhan Kichuya-Simba Sc
8:Said Hamis Ndemla-Simba Sc
9:John Raphael Bocco-Simba Sc
10:Obrey Chora Chirwa-Young Africans
11:Emmanuel Anord Okwi-Simba Sc
Kikosi cha Akiba
1:Razack Abalora- Azam Fc
2:Kelvin Yondan-Young Africans
3:Bruce Kangwa-Azam Fc
4:Mudathir Yahya-Singida United
5:Ibrahim Ajibu-Young Africans
6:Himid Mao-Azam Fc
7:Habib Kiyombo-Mbao Fc
Mfumo 4-4-2
Kocha Mkuu: Hans Van Der Pluijm
Baada ya kutaja kikosi hicho Manara amesema haya ni mawazo yake huru, kwa wanaopinga waje na data, je wewe unakubaliana naye? Maoni yote weka hapa kwenye blog chini ya Post imeandikwa Facebook Comment.
USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako
Manara ametaja kikosi hicho na kusema "hiki ni kikosi changu bora kwenye mzunguko wa kwanza wa VPL..nimezingatia mchango wa wachezaji binafsi kwa timu yake".HIKI NDICHO KIKOSI CHAKE BORA MZUNGUKO WA KWANZA MSIMU WA 2017-2018.
Kikosi cha kwanza
1:Aishi Salum Manula-Simba Sc
2:Erasto Edward Nyoni-Simba Sc
3:Shafiq Batambuze-Singida United
4:Yakub Mohamed-Azam Fc
5:Asante Kwasi-Simba Sc
6:Papy Kabamba "Tshishimbi"- Young Africans
7:Shiza Ramadhan Kichuya-Simba Sc
8:Said Hamis Ndemla-Simba Sc
9:John Raphael Bocco-Simba Sc
10:Obrey Chora Chirwa-Young Africans
11:Emmanuel Anord Okwi-Simba Sc
Kikosi cha Akiba
1:Razack Abalora- Azam Fc
2:Kelvin Yondan-Young Africans
3:Bruce Kangwa-Azam Fc
4:Mudathir Yahya-Singida United
5:Ibrahim Ajibu-Young Africans
6:Himid Mao-Azam Fc
7:Habib Kiyombo-Mbao Fc
Mfumo 4-4-2
Kocha Mkuu: Hans Van Der Pluijm
Baada ya kutaja kikosi hicho Manara amesema haya ni mawazo yake huru, kwa wanaopinga waje na data, je wewe unakubaliana naye? Maoni yote weka hapa kwenye blog chini ya Post imeandikwa Facebook Comment.
USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako
Comments
Post a Comment