HII HAPA DROO YA RAUNDI YA NNE KOMBE LA FA
Youvil Town ambayo ni timu ya nafasi ya chini zaidi iliyosalia katika michuano hii itawakaribisha Manchester United.
Tottenham watakutana na Newport County. Vinara wa Ligi Kuu ya England, Manchester City itakuwa ugenini kucheza na Cardiff City au Mansfield Town, huku Nottingham Forest iliyowatoa mabingwa watetezi Arsenal itakutana na Hull City.
Raundi ya nne ya Kombe la FA itachezwa wiki ya Januari 26-29. Timu nyingine ni kama unavyoona hapa chini:
Liverpool v West Brom
Peterborough v Fleetwood/Leicester
Huddersfield v Birmingham
Notts County v Wolves/Swansea
Yeovil v Manchester United
Carlisle/Sheffield Wednesday v Stevenage/Reading
Cardiff/Mansfield v Manchester City
MK Dons v Coventry
Millwall v Rochdale
Southampton v Watford
Middlesbrough v Brighton/Crystal Palace
Bournemouth/Wigan v Shrewsbury/West Ham
Hull v Nottingham Forest
Newport County v Tottenham
Norwich/Chelsea v Newcastle
Sheffield United v Preston

Comments
Post a Comment