HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE NA MAARIFA QT 2017
Baraza la Mitihani Tanzania –NECTA, limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne na Maarifa –QT, ambapo kiwango cha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 7 ikilinganishwa na mwaka jana 2016.
Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde, alitangaza matokeo hayo jana jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Jumla ya Watahiniwa laki 2 elfu 87 na 713 ambao sawa na asilimia 77.09% kwa shule za kawaida na vituo vya kujitegemea wamefaulu, ambapo kati ya hao wasichana ni laki 1 elfu 43 na 728 sawa na asilimia 75.21%, wakati wavulana ni laki 1 elfu 43 na 985 sawa na asilimia 79.06%.
Alifafanua kuwa Mwaka jana wanafunzi waliofaulu mitihani ya kidato cha nne walikuwa laki 2, elfu 77 na 283, ambao ni asilimia 70.09%, hivyo ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 7
Mbali na hilo, Msonde ameweka wazi kuwa jumla ya wanafunzi 265 wamebainika kufanya udanganyifu mbalimbali katika mitihani hiyo, ambayo ilianza kufanyika Oktoba 30 mwaka 2017 mpaka Novemba 17, mwaka 2017.
KUTAZAMA MATOKEO YA FORM 4 2017 BOFYA HAPA
KUTAZAMA MATOKEO YA QT 2017 BOFYA HAPA
USISAHAHAU KULIKE PAGE YETU KWA HABARI ZAIDI ZA MICHEZO, BOFYA LIKE Nijuzehabari Blog Ipo Play Store Pakua App Yetu Iliyoboreshwa HAPA Upate Habari Zote Mpya Moja Kwa Moja Kupitia Simu Yako

Comments
Post a Comment