MSIMAMO WA LIGI BAADA YA KUKAMILIKA KWA MICHEZO 6 RAUNDI YA 12 VPL
Huu ni msimamo wa Ligi Baada ya mechi mbili za leo Jumapili, ambapo bingwa mtetezi Yanga kakubali kichapo cha kwanza msimu huu cha 2-0 kutoka kwa Mbao na hivyo kushushwa mpaka nafasi ya 4 wakipitwa alama tano na vinara Simba.
Singida United imepanda mpaka nafasi ya tatu baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Njombe Mji.
Comments
Post a Comment