RATIBA MICHUANO YA CECAFA CHALLENGE CUP 2017 BAADA ZIMBAMBWE KUJIONDOA
Usipitwe na Habari zote za Michezo, Usajili,na Magazeti, Install Bure App Yako ya Kijanja ya Nijuzehabari Hapa chini:
Hii ni Ratiba ya michuano hiyo itakayoanza December 03 mwaka huu huko Kenya, baada ya Zimbambwe kujiondoa hapo jana kwa kuhofia usalama wao.
Desemba 3, 2017
Kundi A
Libya vs Tanzania saa 16:00 katika uwanja wa Machakos.
Kenya vs Rwanda saa 14:00 katika uwanja wa Kakamega.
Kundi B
Desemba 4, 2017
Uganda vs Burundi saa 15:00 katika uwanja wa Kakamega.
Desemba 5, 2017
Kundi A
Zanzibar vs Rwanda saa 14:00 katika uwanja wa Machakos.
Kenya vs Libya saa 16:00 katika uwanja wa Machakos.
Kundi B
Ethiopia vs South Sudan saa 15:00 katika uwanja wa Kakamega.
Desemba 7, 2017
Kundi A
Tanzania vs Zanzibar saa 14:00 katika uwanja wa Machakos.
Rwanda vs Libya saa 16:00 katika uwanja wa Machakos.
Ethiopia vs Burundi saa 15:00 katika uwanja wa Kakamega.
Desemba 8, 2017
Kundi B
Uganda vs South Sudan saa 15:00 katika uwanja wa Kakamega.
Desemba 9, 2017
Kundi A
Rwanda vs Tanzania saa 14:00 katika uwanja wa Machakos.
Kenya vs Zanzibar saa 16:00 katika uwanja wa Machakos.
Desemba 10, 2017
Kundi B
Ethiopia vs Uganda saa 15:00 katika uwanja wa Kakamega.
Desemba 11, 2017
Kundi A
Libya vs Zanzibar saa 14:00 katka uwanja wa Machakos.
Kenya vs Tanzania saa 16:00 katika uwanja wa Machakos.
Kundi B
South Sudan vs Burundi saa 15:00 katika uwanja wa Kakamega.
Desemba 12, 2017 Mapumziko
Desemba 13, 2017 Mapumziko
Desemba 14, 2017
Nusu fainali 1 (Mshindi Kundi A vs Mshindi wa pili Kundi B) saa 15:00
Desemba 15, 2017
Nusu fainali 2 (Mshindi Kundi B vs Mshindi wa pili kundi A) saa 15:00
Desemba 16,2017 Mapumziko
Desemba 17, 2017
Mshindi wa Tatu & Fainali
ILI KUZIPATA HABARI ZETU KWA HARAKA ZAIDI USIKOSE KULIKE PAGE YETU HAPA CHINI BOFYA LIKE
Comments
Post a Comment