MATOKEO NA MSIMAMO BAADA YA MECHI ZA JANA JUMATANO LIGI KUU ENGLAND {EPL}

Usipitwe na Habari zote za Michezo, Usajili,na Magazeti, Install Bure App Yako ya Kijanja ya Nijuzehabari Hapa chini:
Image result for Everton 4 - 0 West Ham United 29-11-2017
Usiku wa kuamkia leo ilichezwa michezo 6 katka kukamilisha raundi ya 14 ligi kuu England, baada ya hapo juzi kuchezwa minne, hapa nimekuwekea matokeo yake na msimamo baada ya kukamilika kwa michezo yote ya raundi ya 14.

FT AFC Bournemouth 1 - 2 Burnley
FT Arsenal 5 - 0 Huddersfield Town
FT Chelsea 1 - 0 Swansea City
FT Everton 4 - 0 West Ham United
FT Manchester City 2 - 1 Southampton
FT Stoke City 0 - 3 Liverpool

Huu ni msimamo baada ya kukamilika kwa raundi ya 14.
Team NamePWDLFAGDPts
1 Manchester City1413104493540
2 Manchester United1410223282432
3 Chelsea1492325111429
4 Arsenal1491428161228
5 Liverpool1475228181026
6 Burnley147431411325
7 Tottenham Hotspur1473422121024
8 Watford146352425-121
9 Leicester City144551920-117
10 Brighton & Hove Albion144551314-117
11 Southampton144461417-316
12 Newcastle United144371319-615
13 Everton144371728-1115
14 Huddersfield Town14437924-1515
15 AFC Bournemouth144281216-414
16 Stoke City143471629-1313
17 West Bromwich Albion142661221-912
18 West Ham United142481230-1810
19 Swansea City14239716-99
20 Crystal Palace14239825-179

ILI KUZIPATA HABARI ZETU KWA HARAKA ZAIDI USIKOSE KULIKE PAGE YETU HAPA CHINI BOFYA LIKE.

Comments

Popular posts from this blog