HIMID MAO KUFATA NYAYO ZA SAMATTA, MSUVA NA WENGINE

Usipitwe na Habari zote za Michezo, Usajili,na Magazeti, Install Bure App Yako ya Kijanja ya Nijuzehabari Hapa chini:

Related image
Nahodha wa Azam Fc na Timu ya Taifa Tanzania {Taifa Stars} Himid Mao yuko mbioni kucheza soka la kulipwa, hii ni baada kusafiri hadi Afrika Kusini kwa ajili ya kumalizana na klabu ya Bidvest Wits.

Taarifa zisizo na shaka ambazo Nijuzehabari.co.tz imezipata, ni kuwa Azam na Bidvest zimeshakubaliana kwa kila kitu hivyo kilichobaki ni mchezaji mwenyewe kukubaliana maslahi binafsi na klabu hiyo ili aweze kusaini mkataba.

Kila la kheri Himid Mao "Mkami"

ILI KUZIPATA HABARI ZETU KWA HARAKA ZAIDI USIKOSE KULIKE PAGE YETU HAPA CHINI BOFYA LIKE.

Comments

Popular posts from this blog

Kanuni za ufugaji bora wa mbuzi