BAADA YA DONALD NGOMA KUREJEA, HII HAPA KAULI YA YANGA
Usipitwe na Habari zote za Michezo, Usajili,na Magazeti, Install Bure App Yako ya Kijanja ya Nijuzehabari Hapa chini:
Baada ya kutoweka nchini kwa wiki kadhaa kwa kile kinachodaiwa alienda kuuguza majeraha yake hatimaye mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma amarejea nchini hapo jana.
Ngoma amereja Dar jana akitokea kwao Zimbabwe huku taarifa zikitoka kuwa aliondoka ‘kimyakimya’ bila kuutaarifu uongozi wa Yanga.
Ikumbukwe kuwa Ngoma alikuwa amejumuisha kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Zimbambwe kabla ya kujiondoa hapo jana kwa kuhofia usalama wao nchini Kenya, ambako ndiko mshindano hayo yanafanyika kuanzia December 03 mwaka huu

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa alieleza kusikitishwa na tukio hilo na kusisitiza mshambuliaji huyo akirejea tu atakumbana na adhabu kubwa kama utetezi wake hautauridhisha uongozi huo.
Afisa Habari wa Yanga Dismas Ten amesema uongozi utatoa taarifa kamili ya nini kimeafikiwa juu ya hatma ya mshambuliaji huyo baada ya kikao chao.
ILI KUZIPATA HABARI ZETU KWA HARAKA ZAIDI USIKOSE KULIKE PAGE YETU HAPA CHINI BOFYA LIKE.
Comments
Post a Comment