RATIBA YA YANGA SC: MECHI 7 ZINAZOKAMILISHA AWAMU YA KWANZA (VPL) 2017-2018

Nijuzehabari.com inakuletea mechi 7 za Yanga Sc zilizobaki ili kukamilisha Awamu ya kwanza ya Ligi Kuu katika kuwania Ubingwa msimu wa 2017-2018.

Ratiba mechi za Yanga Sc zilizobaki Mzunguko wa kwanza ziko hivi baada ya kumaliza mchezo wake na Simba, huku timu hizo zikitoa sare ya goli 1-1.

Yanga imebakiza mechi 7 tu kukamilisha mzunguko wa kwanza kabla ya kuanza mzunguko wa pili hapo January 2019.

November 04-2017 Singida United itaikaribisha Yanga Sc katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma.

November 12-2017 Yanga itaikaribisha Mbeya City

November 18-2017 Yanga Sc itaikaribisha Tanzania Prisons

November 25-2017 Mbao Fc itaikatibisha vs Yanga Sc

December 02-2017 Yanga itaikaribisha Mwadui Fc

December 24 -2017 Yanga itaikaribisha Ruvu Shooting

Mechi ya mwisho itakuwa December 30-2017 Yanga itaikaribisha Azam Fc

Hapo timu zitaingia mapumziko ya siku 18 ili kujiandaa kwa awamu  ya pili.

Ligi hiyo itaendelea tena tarehe 19 January 2018 huku Yanga ikianza na Lipuli Fc, Yanga watakuwa Ugenini.
USIKOSE KULIKE PAGE YETU HAPA CHINI



JIUNGE NA NIJUZEHABARI SASA SASA! Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia mitandao hii

WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

Comments

Popular posts from this blog