RATIBA YA SIMBA SC: MECHI 7 ZINAZOKAMILISHA AWAMU YA KWANZA (VPL) 2017-2018

Nijuzehabari.com inakuletea mechi 7 za Simba Sc zilizobaki ili kukamilisha Awamu ya kwanza ya Ligi Kuu katika kuwania Ubingwa msimu wa 2017-2018.

Ratiba mechi za Simba zilizobaki Mzunguko wa kwanza ziko hivi baada ya kumaliza mchezo wake na Yanga, huku timu hizo zikitoa sare ya goli 1-1.

Simba imebakiza mechi 7 tu kukamilisha mzunguko wa kwanza kabla ya kuanz mzunguko wa pili hapo January 2019.

November 05-2017 Mbeya City itaikaribisha  Simba Sc Sokoine- Mbeya

November 11-2017 Tanzania Prisons itaikaribisha Simba Sc

November 19-2017 Simba itaikaribisha Lipuli Fc

November 26-2017 Ndanda Fc itaikaribisha Simba Sc

December 12-2017 Simba Sc itaikaribisha Singida United

December 23-2017 Simba itaikaribisha  Kagera Sugar

Mechi ya mwisho itakuwa December 31-2017 Simba ikiikaribisha Majimaji.

Hapo timu zitaingia mapumziko ya siku 18 ili kujiandaa kwa awamu  ya pili.

Ligi hiyo itaendelea tena tarehe 19 January 2018 huku Simba ikianza na Ruvu Shooting, Simba watakuwa Ugenini.
USIKOSE KULIKE PAGE YETU HAPA CHINI



JIUNGE NA NIJUZEHABARI SASA SASA! Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia mitandao hii

WASHIRIKISHE MARAFIKI ZAKO HABARI HII KUPITIA MITANDAO HII

Comments

Popular posts from this blog