DIRISHA LA USAJILI BARANI ULAYA LIMEFUNGWA RASMI, HUU NDO USAJILI ULIOKAMILIKA USIKU HUU.
ORODHA KAMILI YA WALIOTOKA NA KUINGIA TUTAKUWEKEA KESHO HAPA HAPA NIJUZEBARI BLOG.
Leicester City wamemsajili beki Aleksandar Dragovic kwa mkopo kutoka Bayer Leverkusen
Mshambuliaji wa Arsenal Lucas Perez amejiunga tena na Deportivo La Coruna kwa mkopo hadi mwisho wa msimu
Klabu ya Paris Saint-Germain wamekamilisha usajili wa Kylian Mbappe kutoka Monaco, kwa mkopo wakiwa na nafasi ya kumsajili moja kwa moja msimu ujao
Borussia Dortmund wamemsajili kinda wa Manchester City Jaydon Sancho. Manchester City walimpa ruhusa ya kuzungumza na Dortmund, Bayern Munich na Real Madrid peke yake, na hakuruhusiwa kuzungumza na klabu yoyote ya Uingereza.
Klabu ya Lazio imefanikiwa kumsaini Winga Mnero, Mchezaji wa Zamani wa Manchester United Luis Nani akitokea Klabu ya Valencia.
Klabu ya Liverpool imethibitisha kuwa mshambuliaji wake Kinda, Divock Origi amejiunga na Klabu ya Wolfsburg ya Ujeruma kwa Mkopo.Kinda Wa Buyern Munich Renato Sanches amejiunga na Swansea City kwa Mkopo.
ORODHA KAMILI YA WALIOTOKA NA KUINGIA TUTAKUWEKEA KESHO HAPA HAPA NIJUZEBARI BLOG.
Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Comments
Post a Comment