USAJILI: RASMI SERGE AURIER ATUA TOTTENHAM HOTSPUR.
Klabu ya Tottenham Hotspur imefanikiwa kuinasa saini ya beki wa kulia Wa PSG, Serge Aurier, beki huyo anatajwa kuziba pengo lililoachwa na kyle walker aliyetimukia Manchester City
MuIvory Coast huyo mwenye umri wa miaka 24 amejiunga na Tottenham Hotspur kwa ada ya Pauni Milioni 23 akitokea Klabu ya Paris Saint-Germain ya nchini Ufaransa na kukabidhiwa jezi namba 24.
Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Comments
Post a Comment