UGANDA YAICHAPA MISRI, OKWI NA JUUKO WANOGA.
Uganda imekwenda hadi kileleni mwa kundi E baada ya kuichapa Misri goli 1-0 katika mchezo wa kufuzu kucheza Kombe la Dunia 2018.
Goli pekee na la ushindi lilifungwa na Emmanuel Anord Okwi katika dakika ya 52 kunako kipindi cha pili.
Huu ni ushindi wa kwanza wa Uganda dhidi ya Misri tangu mwaka 1965.
Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100.
Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako
Goli pekee na la ushindi lilifungwa na Emmanuel Anord Okwi katika dakika ya 52 kunako kipindi cha pili.
Huu ni ushindi wa kwanza wa Uganda dhidi ya Misri tangu mwaka 1965.
Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Comments
Post a Comment