SAID NDEMLA NA IBRAHIM AJIB HAWATENGANISHWI NA TIMU.
Pichani ni Ibrahim Ajib na Said Ndemla katika picha ya leo hawa jamaa ni kama mapacha vile.
Picha hii inamaanisha Undugu wao haukuisha kisa Ajib kahama kutoka Simba na kwenda Yanga, Ndugu Msomaji wa Nijuzebari Blog wawili hawa ni marafiki wa muda mrefu tangu wakiwa katika timu zao za watoto na leo hii Ibrami Ajib apepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Twitter
Comments
Post a Comment