MECHI YA KIRAFIKI SIMBA VS HARD ROCK YASOGEZWA MBELE, SABABU HIZI HAPA.

klabu ya Simba inawaomba  radhi washibiki wa kandanda nchini kwa kuwa mchezo huo ulitaraji kuchezwa kesho, baina ya Simba na timu ya Jeshi ya Hard Hard Rock toka kisiwani Pemba haitakuwepo,na sasa mchezo huo utachezwa siku ya Jumapili hii ya tarehe 3-9-2017.
Ndugu Msomaji wa Nijuzebari Blog, Mchezo huo umesogezwa mbele kuwapisha Botswana ambao kesho watautumia uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mazoezi yao ya mwisho kabla ya kuivaa Stars Jumamosi.

Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100. Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako

Comments

Popular posts from this blog