LIVERPOOL YAKUBALI KUMSAJILI CHAMBERLAIN KWA DAU NONO.

Klabu ya Liverpool imekubali kulipa pauni milioni 40 kumsajili kiungo wa Arsenal Alex Oxlade-Chamberlain, 24.

Kiungo huyo alikataa kwenda Chelsea hata baada ya ada ya uhamisho kuafikiwa siku ya Jumanne. Oxlade-Chamberlain ameanza katika kila mechi katika michezo minne waliocheza Arsenal msimu huu, licha ya kumwambia Arsene Wenger kuwa hatosaini mkataba mpya.

Chamberlain Amecheza mechi 198 akiwa na Arsenal tangu alipojiunga akitokea Southampton Agosti 2011.

Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Kama una picha,Video au Habari zinazohusu Michezo tutumie WhatsApp namba +255756658100. Sambaza habari hii Facebook, Sambaza Twitter, Sambaza WhatsApp Mshirikishe mwenzako

Comments

Popular posts from this blog