GOSPEL: MTOTO WETU BY SIFAEL MWABUKA.
Anaitwa Sifaeli mwabuka ukipenda muite Heri lawama ni Mwimbaji wa Nyimbo za Injili hapa Tanzania wengi mno wanamtambua kwa jina la (HERI LAWAMA).
Leo amekuletea Album Mpya Kabisa iitwayo Mtoto wetu vol 3, wimbo wenye ujumbe mzito sana unaweza usikiliza hapa pia ukashare na mwezanko akaipata Baraka hii.
Pia Sifael Mwabuka (HERI LAWAMA) anakualika wewe Msomaji wa Nijuzehabari Blog, kutazama nyimbo zake zote YouTube andika Sifael Mwabuka kwa Mawasiliano Zaidi kama unaitaji CD yake uliyoipenda mtafute kwa namba hii +255719482223.
Like Page yetu hapa chini ili uwe wa kwanza kupata habari zetu zote za Michezo na Usajili
Comments
Post a Comment