Video: Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ameongeza mkataba wa miaka miwili
Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga sasa ni rasmi Amissi Tambwe ataitumikia klabu yake ya Yanga misimu miwili ijayo kama unavyoona hapa kwenye Video tuliyokiwekea hapa chini.
Kupata habari zetu kila siku Download Application yetu Bure GUSA HAPA pia usikose kutufatilia kila siku SISI NI SOKA TUNAENDELEA KUKUJUZA.

Comments
Post a Comment