Tanzia: aliyekuwa Mbunge wa Moshi, Ndesamburo afariki dunia
MBUNGE wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema), Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi,
Basil Lema, Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe
Basil Lema, Katibu wa Chadema, Mkoa wa Kilimanjaro, amethibitisha kifo hicho na kueleza kuwa wataendelea kutoa taarifa zaidi juu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe
Comments
Post a Comment