DONDOO ZA MICHEZO TANZANIA NA NJE YA TANZANIA MAY 31/2017
Nahodha wa zamani wa Liverpool Steven gerrad Jana ametimiza miaka 37
Hivi hapa vikombe alivyotwaa katika maisha yake ya sokaFA cup vikombe 2
FA Community shield 1
Champion league 1
Uefa Cup 1
Uefa Super Cup 1
Imeripotiwa kuwa Mtendaji mkuu wa klabu ya azam fc Saad kawemba Huenda atakua kafukuzwa kazi azam fc japo kuwa taarifa hii bado haijathibitishwa.
Mwili wa Marehemu Dada Shose Fidelis Unatarajiwa kuagwa Hapo kesho
Jijini Dar es laam na utasafirishwa kuelekea moshi kwa ajili ya maziko
klabu Ya simba kucheza mchezo wa kurafiki mkoani katavi hii ikiwa ni katika zoezi la kutembeza kombe Lao la
#azamSportsFederationCup
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Awapongeza mbao fc kwa kucheza Fainali kombe la shirikisho la azam sports federation cup
Yanga ipo mbioni kunasa Sain Ya Nyota Hawa
Mbaraka Yusuph Kagera Sugar
Kelvin Sabato Maji Maji
Rafael Daud Mbeya City
Salmin Hoza Mbao
Asante Kwasi Mbao
Ally Nassoro Ufudu Kagera Sugar
Mchezaji Wa Leicester city Maherez amesema kuwa anataka kuondoka katika klabu hiyo tayari kwenda sehemu nyingine kutafuta changamoto Nyingine
Nahodha wa zamani wa Liverpool Steven gerrad Jana ametimiza miaka 37
Hivi hapa vikombe alivyotwaa katika maisha yake ya soka
FA cup vikombe 2
FA Community shield 1
Champion league 1
Uefa Cup 1
Uefa Super Cup 1
Ac Milan imetangaza kumongezea mkataba mpya kocha wake montella utakao mfanya asalie klabuni hapo mpk mwaka 2029
Mchezaji Wa Tottenham Sissoko Amesema kuwa anafikiria kuachana na klabu hiyo kutokana kuwa na Msimu mbovu katika klabu hiyo.
Hii Hapa list ya Magolikipa bora Barani Ulaya 2016/17
1 Sergio Asenso Real Madrid
2 Manuel Neur
3 M -A Ter Stegen
4 Kevin Trapp
5 Hugo lioris
6 G Donnarumma
7 Cedric Carrasco
8 Yoan Cardinale
9 Oliver Baumann
10 petr Cech
klabu Ya Liverpool imetangaza kumsajili kinda Domic solanke
Kutoka Kabu ya Chelsea kwa ada ya paund million 3.
Comments
Post a Comment