TIMU YA TAIFA SERENGETI BOYS IMEIBUKA NA USHINDI WA GOLI 1-0 KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI DHIDI YA CAMEROON LEO APRIL 30
International friendly
HT:
Cameroon U17 0-1 @SerengetiBoys
⚽Ally Nganzi
Endelea kutufatilia kujua matokeo zaidi kati ya vijana wetu Serengeti Boys na Cameroon
Dakika 87 Serengeti Boys 1-0 Cameroon
Full Time Cameroon 0-1 Serengeti Boys
Timu ya Tanzania U17(Serengeti Boys) imeibuka na ushindi wa goli 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Cameroon U17
nijuzehabari.com inaungana na watanzania wote kuwaombea vijana wetu wapate mafanikio zaidi Mungu ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA
For Booking>>>
EMAIL: erickkaberwa2015@gmail.com
CALL>>>
Vodacom: +255756658100
Tigo: +255655658100
Tigo: +255655658100
JIUNGE NAMI KUPITIA
Comments
Post a Comment