LIGI KUU ENGLAND KUENDELEA TENA LEO APRIL 30 CHEKI RATIBA KAMILI HAPA
Baada ya kushudia ligi hii ikiendelea jana Jumamosi kwa Michezo mitano na kuona matokeo ya kusikitisha kwa Klabu ya Mzee Moyes baada ya kushuka daraja na Sunderland yake huku akidai hatikimbia Sunderland kisa imeshuka daraja, Leo tutashuhudia Mechi nyingine Kali kukutana leo mida ya mchana mapema kabisa utakuta na Mechi ya Manchester unite wakiikaribisha Swansea city Old Trafford huku Mechi nyingine zikifuata saa 16:05 na ya mwisho ni Derby ya London ya Kaskazini ikiwakutanisha vijana wa Mzee Wenger Arsenal vs Tottenham Hotspur ratiba yote na muda wa Mechi tumekuweka hapa chini usikose kuangalia live Mechi hizi hapa hapa Nijuzehabari
England - Premier League April 30
14:00 Manchester United vs Swansea City
16:05 Everton vs Chelsea
16:05 Middlesbrough vs Manchester City
18:30 Tottenham Hotspur vs Arsenal
TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA
For Booking>>>
EMAIL: erickkaberwa2015@gmail.com
CALL>>>
Vodacom: +255756658100
Tigo: +255655658100
Tigo: +255655658100
JIUNGE NAMI KUPITIA
Comments
Post a Comment