SIMBA YAKIRI KUDAIWA NA TRA KODI ZA NYASI BANDIA



Klabu ya Simba inakiri kudaiwa na Mamlaka ya Mapato nchini TRA kodi za nyasi bandia,,na juhudi za kupata msamaha wa kodi hyo kiuhalisia umeshindakana.
klabu inafanya juhudi zote kuhakikisha inalipa kodi hyo kwa wakati baada ya kuomba kuongezewa muda wa kulipa na TRA.

pia klabu tunaishukuru sana mamlaka hyo kwa kutuvumilia na kutupa muda zaid, kwa sasa tunawaomba wanachama na Mashabiki wetu kujikita kwenye mechi zetu muhimu za kanda ya Ziwa na kupuuza maneno ya mitandaoni yenye lengo ovu kwa klabu yetu. @simbasctanzania @tanfootball @azamtvtz @taswa

Comments

Popular posts from this blog