Memphis Depay ndiye anataka kuondoka Man United:Mourinho





Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa Memphis Depay ndiye anataka kuondoka klabuni hapo.

Mourinho amesema kuwa mchezaji huyo anataka kuondoka mwezi Januari lakini watamruhusu endapo watapokea ofa nzuri itakayowashawishi kufanya hivyo.

“He was not playing last season. It was not that last season he was playing phenomenally and this season he is not playing at all. That’s not the situation. I have to say that in the past couple of months my decisions in relation to Memphis were influenced by the feelings and information that he would like to leave in January and that we were going to have a real offer that we would be willing to accept. That obviously influences me,” amesema Mourinho.

“If I know, if I have the feeling that a player is leaving – if I have to give chances and develop other players – then I go to [Jesse] Lingard, [Henrikh] Mkhitaryan, [Anthony] Martial, the players I know 100 per cent who are going to stay with us. It is a position where we have more options,” ameongeza.

Mpaka sasa Depay ameshacheza dakika 20 kwenye ligi kuu tangu msimu huu ulipoanza akiwa chini ya Mourinho.

Comments

Popular posts from this blog