Atakayepoteza mtoto mwaka mpya atakamatwa
Thobias Sedoyeka
Wazazi na walezi mkoani Mtwara wametakiwa kuwachunga watoto wao katika sherehe za sikukuu ya mwaka Mpya, na kwamba atakaepotelewa na mtoto kwa uzembe atachukuliwa hatua za kisheria.Jeshi hilo limeendelea kutoa tahadhari za kiusalama kwa watumiaji wa vyombo vya moto kuhakikisha wanakuwa waangalifu na kuepuka kuendesha vyombo vyao wakiwa wamelewa, pamoja na kuwataka wafanyabiashara wa bar kuhakikisha wanafunga biashara zao katika muda uliopangwa.
Source: EATV
Comments
Post a Comment