Zlatan amejiwekea rekodi mpya Premier League baada ya suluhu ya Man United vs Burnley
Manchester United wamepiga mashuti 37, mashuti mengi zaidi kuwahi kupigwa kwenye Premier League tangu msimu wa 2003-04.
Ander Herrera amepewa kadi nyekudu ya kwanza kwenye Premier League, akiwa La Liga amewahi kupata kadi yekundu mara tano.
Mara ya mwisho mchezaji wa United kupewa kadi nyekundu kwenye Uwanja wa Old Trafford katika michezo ya Premier League ilikuwa Septemba 2014 (Wayne Rooney v West Ham).
Kipa wa Burnley Tom Heaton aliokoa mashuti 11 kwenye mchezo wa jana, akiwa amefanya hivyo mara nyingi zaidi msimu huu kuliko kipa yeyote kwenye Premier League.
Zlatan Ibrahimovic amecheza mchezo wa ligi wa sita mfululizo bila kufumania nyavu za wapinzani kwa mara ya kwanza tangu mara ya mwisho Desemba 2007 alipokuwa akicheza Inter Milan.
Ibrahimovic amepiga masguti 12, idadi kubwa zaidi kwenye Premier League tangu mara ya mwisho alipofanya hivyo Robin van Persie alipokuwa Arsenal Desemba 2011 dhidi ya Wolves.

Comments
Post a Comment