Simba hakuna kulala, yaanza mipango ya kuimaliza Stand United
Baada ya ushindi wake wa 3-0 dhidi ya Mwadui mkoani Shinyanga, kikosi cha Simba kimeendela na mazoezi chini ya kocha mkuu Joseph Omog na wasaidizi wake kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Jumatano dhidi ya Stand United.
‘Mnyama’ anaisubiri Stand United ambayo Jumapili ilicheza dhidi ya Ruvu Shooting ambapo mchezo huo ulimalizika kwa suluhu.
‘Mnyama’ anaisubiri Stand United ambayo Jumapili ilicheza dhidi ya Ruvu Shooting ambapo mchezo huo ulimalizika kwa suluhu.
Camera ya shaffihdauda.co.tz imezinasa picha wakati Simba wakipiga jaramba kwenye uwanja wa Kambarage, unaweza kuziangalia hapa chini.
Comments
Post a Comment