Saida Karoli najihisi kuzaliwa upya
#BURUDANI Saida Karoli afurahishwa na kitendo cha Diamond Platnumz kurudia kazi yake, asema kimemfanya ajihisi kuzaliwa upya maana hata waandishi wa habari sasa wameanza kumtafuta.
Toa maoni yako.
Soma:- http://www.eatv.tv/news/entertainment/najihisi-kuzaliwa-upya-saida-karoli
Comments
Post a Comment