Mfanye mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha

MWANAMKE
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako
● Ujauzito wako unabadili umbo lake
● Anakua mnene
● Anateseka chumba cha uzazi kwa maumivu makali kwa ajili ya mtoto wako.
● Na mtoto akizaliwa anasubiri umpe jina unalolipenda.
Mpaka kifo chake atakufanyia kila kitu, kukupikia, Kusafisha nyumba yako, Kuwatunza wazazi wako, Kulea watoto, Kubana matumizi, Kukushauri, Kuhakikisha unapumzika, Kujenga mahusiano mazuri ya familia, Wakati mwingine anaweza hatarisha afya yake, Uhai wake kwa ajili yako.
Anakufumania analia kisha anakusamehe.
Mwanaume Muheshimu Mwanamke Katika Maisha yako, Sababu kuwa Mwanamke si jambo rahisi.
Mfanye Mwanamke kuwa kiumbe mwenye furaha pindi unapokua nae maana Muda wa furaha kwake ni Mdogo sana.
Shea kwa Heshima ya Wanawake wote Duniani. By Heri Lawama team.

Comments

Popular posts from this blog