HUU NDIO WIMBO MPYA WA EDWARD KISUSU -ATANIJIBU TU
http://soundofworshiptz.blogspot.com/2016/09/edward-kisusuatanijibu.html?m=0 Huu ndio wimbo mpya wa Muimbaji mahiri wa Nyimbo za Injili *Edward kisusu* uitwao .ATANIJIBU TU..uliofanywa na Producer SMART BILIONEA pale JB studio Akiongea na blogg Yetu amesema Yupo mbioni kutoa Video mpya ya ALBUM iitwayo UFUTE ALAMA Aliyomshirikisha CHRISTOPHER MWAHANGILA mzee wa Mungu ni Mungu tu ingia hapa kuidownload http://soundofworshiptz.blogspot.com/2016/09/edward-kisusuatanijibu.html?m=0 NISAIDIE KUSHARE UJUMBE HUU
Comments
Post a Comment